Jina rasmi
Jina rasmi la nchi, mtu, taasisi n.k. ni lile linalokubalika kisheria, hata kama ni tofauti na lile lililozoelekaz zaidi, kama jina fupi, jina la kisanii, jina la kitawa n.k.
Dola la Roma liliruhusu watu kujibadilisha jina, mradi kusiwe na lengo la kijanja au kusababisha hatari[1], lakini siku hizi nchi nyingi zimepanga taratibu ngumu.
Tanbihi
hariri- ↑ «Sicuti in initio, nominis, cognominis, praenominis impositio, recognoscendi singulos, libera est privatis: ita eorum immutatio, innocentibus periculosa non est. Mutare itaque nomen, vel praenomen, sive cognomen, sine aliqua fraude licito iure, si liber es, secundum ea, quae saepe statuta sunt, minime prohiberis: nullo ex hoc praeiudicio futuro.»
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jina rasmi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |