Jiwe la nyoka
Jiwe la nyoka ni jiwe linalotumika katika kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliyeng'atwa na nyoka. Jiwe hilo lina asili ya kuwa na elementi za Kaboni [C].
Jiwe la nyoka lina uwezo wa kunyonya sumu ya nyoka na kumuacha mjeruhiwa salama bila ya sumu katika mwili.
Jiwe la nyoka hupatikana baada ya kuchoma mfupa wa mnyama mwenye umbo kubwa; kwa mfano nyati, mbawa na hata mfupa wa binadamu ambayo matokeo yake ni kipande cha mfupa kilichoungua ambacho huitwa jiwe la nyoka.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jiwe la nyoka kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |