Joanne Burgess
Joanne " Joey " Rebecca Burgess (alizaliwa 23 Septemba, 1979) ni mchezaji wa soka wa kimataifa wa Australia, ambaye anachezea klabu ya Western Sydney Wanderers katika ligi ya W-League nchini Australia.
Kazi
haririBurgess alilelewa Campbelltown na alianza kazi yake ya soka katika ligi ya National Soccer League wakati wa msimu wa 1999-2000 ambapo alichezea klabu ya NSW Sapphires. [1]
Burgess alijiunga na Sydney FC katika msimu wa kwanza wa W-League. Kufuatia kipindi hicho cha mwaka mmoja, Burgess alijiunga na Brisbane Roar FC kwa miaka 5, ambapo alicheza kama winga..[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Joanne Burgess". Western Sydney Wanderers FC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-10.
- ↑ "Quiet achiever Burgess says farewell". MyFootball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-10.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joanne Burgess kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |