Joe Masiga
Joseph (Joe) Masiga (anajulikana kama JJ Masiga) ni mwanakandanda wa zamani wa kimataifa wa Kenya na pia mchezaji wa raga.
Masiga alicheza kandanda ya klabu katika timu ya AFC Leopards, timu yenye mizizi magharibi mwa Kenya.
Masiga alistaafu kutoka michezo hodari na sasa ni daktari wa meno katika mji mkuu wa Nairobi.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu Mchezaji Soka wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joe Masiga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |