Joelle Wedemeyer
Marie Joelle Wedemeyer (alizaliwa 12 Agosti 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ MTV Wolfenbüttel
- ↑ nfv.de: Einsätze für den NFV
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joelle Wedemeyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |