12 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Agosti ni siku ya 224 ya mwaka (ya 225 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 141.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1866 - Jacinto Benavente, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1922
- 1887 - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1933
- 1925 - Donald Justice, mshairi kutoka Marekani
- 1954 - Sam J. Jones, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1984 - Sherone Simpson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika
- 1990 - Mario Balotelli, mchezaji mpira kutoka Italia
WaliofarikiEdit
- 1484 - Papa Sixtus IV
- 1689 - Mwenye heri Papa Inosenti XI
- 1955 - Thomas Mann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1929
- 1955 - James Sumner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 1973 - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 1973 - Karl Ziegler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1963
- 1979 - Ernst Boris Chain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1945
- 1982 - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1989 - William Shockley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956
- 2004 - Godfrey Hounsfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yoana Fransiska wa Chantal, Euplo, Aniseti na Fosyo, Erkolani wa Brescia, Porkari na wenzake n.k.
Viungo vya njeEdit
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |