Johanna Elsig

mchezaji wa mpira wa miguu

Johanna Elsig (alizaliwa 1 Novemba 1992,Düren) ni mchezaji wa kike wa soka kutoka nchini Ujerumani. Anacheza kama beki kwenye klabu ya wanawake ya Montpellier.

Johanna Elsig

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johanna Elsig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.