Johannes Diderik van der Waals

Johannes Diderik van der Waals (23 Novemba, 1837 hadi 8 Machi, 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza hali ya gesi na ya kiowevu. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Johannes Diderik van der Waals
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Diderik van der Waals kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.