John Almeida, S.J. (ubini asili: Meade; London, Uingereza, 1571Rio de Janeiro, Brazil, 24 Septemba 1653) alikuwa padri mmisionari wa shirika la Wajesuiti huko Brazil.

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • De Vasconcellos, Life of John Almeida; Records of the English Province S.J.;
  • Foley, General statistics, I, 499, II, 1321, the latter, a translation from Moore's History of the English Province S.J.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.