John Bauer (4 Juni 1882 - 20 Novemba 1918) alikuwa mchoraji kutoka Uswidi. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Stockholm. Picha zake unapatikana katika kitabu Bland tomtar och troll (Baina ya Mibilikimo na Majitu).

Bauer alivyojichora mwenyewe

Mifano ya picha zake hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Bauer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.