John Mnyika

(Elekezwa kutoka John John Mnyika)

John Mnyika ni mwanasiasa wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania aliyechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Ubungo tangu mwaka 2010.[1][2]

Kwa sasa John Mnyika ni katibu mkuu wa chama hicho akiwa ameteuliwa rasmi tarehe 20 Desemba 2019. [3]

MarejeoEdit

  1. Member of Parliament CV. Bunge la Tanzania (2010).
  2. https://www.parliament.go.tz/index.php/administrations/20
  3. Mnyika katibu mkuu Chadema, Kigaila na Mwalimu manaibu wake (en). Mwananchi. Iliwekwa mnamo 2020-01-26.