John Lennon (9 Oktoba 19408 Desemba 1980) alikuwa mmojawapo wa wanamuziki wanne wa bendi moja hodari iliyoitwa "The Beatles". Yeye alikuwa Mwingereza. Mke wake alikuwa Yoko Ono. Lennon aliuawa kwa kupigwa risasi mlangoni mwa nyumbani kwake jijini New York akiwa na umri wa miaka 40 tu.

John Lennon


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Lennon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.