John Lydon
John Lydon (maarufu zaidi kama Johnny Rotten) ni mwanamuziki wa Uingereza. Jina lake la kuzaliwa ni John Joseph Lydon. Alizaliwa London, 31 Januari 1956. Alikuwa anapiga muziki wa Punk na Post punk.
Viungo vya nje
hariri- (Kiingereza) johnlydon.com Ilihifadhiwa 30 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Lydon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |