John Michael Kosterlitz
John Michael Kosterlitz (amezaliwa 1942) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2016, pamoja na David James Thouless na Frederick Duncan Michael Haldane, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Alipewa tuzo kwa utafiti wa kinadharia katika maelezo ya tabia za mata katika hali karibu na sifuri halisi (ing. "for theoretical discoveries of topological phase transitions and topological phases of matter")[1][2][3] .
Marejeo
hariri- ↑ The international who's who 1991-92
- ↑ The Nobel Prize in Physics 2016
- ↑ Gibney, Elizabeth; Castelvecchi, Davide (2016). "Physics of 2D exotic matter wins Nobel: British-born theorists recognized for work on topological phases". Nature. 538 (7623). London: Springer Nature: 18–18. doi:10.1038/nature.2016.20722.
{{cite journal}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help)
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Michael Kosterlitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |