John Peter Kadutu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ulyankulu kwa miaka 20152020. [1]

Ameteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Big Stars Football Club Archived 1 Julai 2023 at the Wayback Machine. kuwa Kaimu Ofisi Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu yenye maskani yake mkoani Singida, Tanzania.

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017