John Stagliano (kama jina la utani alitumia Buttman; alizaliwa 29 Novemba 1951) ni Mmarekani anayejihusisha na filamu za ponografia.

Picha yake

Alianza elimu yake huko Chicago; alianza elimu yake ya ngazi ya juu 1965 hadi 1969.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Stagliano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.