John Stephen Akhwari

John Stephen Akhwari (amezaliwa wilayani Mbulu mkoani Manyara 1938) alikuwa mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1968 kule Mexiko upande wa mbio ya marathoni.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Stephen Akhwari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.