John Travolta
John Joseph Travolta (amezaliwa tar. 18 Februari 1954) ni mwigizaji, dansa na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Ameanza kujulikana kwa mara yake ya kwanza kunako miaka ya 1970, baada ya kuonekana katika mfululizo wa televisheni. Mfululizo huo ni Welcome Back, Kotter na nyota katika filamu zenye mafanikio makubwa kabisa ya Saturday Night Fever na Grease. Kazi za Travolta zilianza kuvuma tena kwenye miaka ya 1990, kupata kucheza katika filamu ya Pulp Fiction, na tangu hapo akawa anaendelea kuwa nyota wa filamu za Hollywood films, katika Face/Off, Ladder 49 na Wild Hogs.
John Travolta | |
---|---|
John Travolta mnamo 2013 | |
Amezaliwa | John Joseph Travolta 18 Februari 1954 Englewood, New Jersey, US |
Kazi yake | Mwigizaji, mwimbaji, dansa, mtayarishaji na mtunzi |
Miaka ya kazi | 1969–mpaka leo |
Ndoa | Kelly Preston (1991–present) |
Tovuti rasmi |
Marejeo
haririSoma zaidi
hariri- Tast, Brigitte (ed.) John Travolta. (Hildesheim/Germany 1978) ISBN 3-88842-103-9.
Viungo vya Nje
hariri- John Travolta Ilihifadhiwa 23 Aprili 2011 kwenye Wayback Machine. official site
- Kigezo:IMDb
- John Travolta katika Internet Broadway Database
- John Travolta katika Open Directory Project
- John Travolta katika Rotten Tomatoes
- John Travolta: A Passionate Ambassador of Aviation Ilihifadhiwa 7 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.