Johnny Cash
Johnny Cash (alizaliwa na jina la J. R. Cash mnamo tar. 26 Februari 1932 – 12 Septemba 2003) alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Huyu anatazamiwa kama miongoni wa wanamuziki wenye athira kubwa katika medani ya muziki kwa muda wote. Hasa alifanya muziki wa country, nyimbo zake zikipigwa husika kuchanganya aina nyingi za muziki wa kama vile rockabilly na rock and roll (ususani wakati anaaza shughuli hizi), vilevile blues, folk na injili..
Johnny Cash | |
---|---|
Johnny Cash in 1969
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | J. R. Cash |
Amezaliwa | Kingsland, Arkansas, U.S. | Februari 26, 1932
Amekufa | Septemba 12, 2003 (umri 71) Nashville, Tennessee, U.S. |
Aina ya muziki | Country, rock and roll, muziki wa asili, injili, blues, rockabilly |
Kazi yake | mwimbaji/mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mwigizaji |
Ala | Sauti, gitaa, piano, harmonica |
Aina ya sauti | Besi-baritone |
Miaka ya kazi | 1955 - 2003 |
Studio | Sun, Columbia, Mercury, American, House of Cash |
Ame/Wameshirikiana na | The Tennessee Three, The Highwaymen, June Carter, Statler Brothers, Carter Family, Area Code 615 |
Tovuti | JohnnyCash.com |
Ala maarufu | |
Martin Acoustic Guitars[1] |
Marejeo
hariri- ↑ Johnny Cash - Guitars and Equipment Uberproaudio.com. Retrieved on 2009-05-15.
Viungo vya nje
haririWikinews has related news: Fire burns home of late singer Johnny Cash |
- Official Webcast
- Official Website
- Official Johnny Cash Lost Highway Artist Page
- at the Country Music Hall of Fame
- at the Rock and Roll Hall of Fame
- at the Rockabilly Hall of Fame Ilihifadhiwa 16 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- at the Hit Parade Hall of Fame Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Johnny Cash at the Internet Movie Database
- Larry King's November 26, 2002 interview With Johnny Cash on CNN
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johnny Cash kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |