Join.Me, Inc. ni teknolojia ya video na sauti kwenye intaneti. Teknolojia hii hutumika sana kwenye mikutano mtandaoni. Makao yake makuu ni Boston, Massachusetts, nchini Marekani.

Viungo vya nje hariri