Jonathan Bolingi

Mwanasoka wa Kongo (DRC)

Jonathan Bolingi (alizaliwa 30 Juni 1994) ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Antwerp iliyopo nchini Ubelgiji na timu ya taifa ya Kongo.

Jonathan Bolingi
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonathan Bolingi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.