Jorge de Alarcão (alizaliwa 3 Novemba 1934) ni mwanaakiolojia kutoka huko Coimbra, Ureno.

Alipata digrii yake ya Shahada katika Chuo Kikuu cha Coimbra na kuwa mzamili wa Western Archaeology ya Ulaya katika Chuo Kikuu cha Oxford.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jorge de Alarcão kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.