Jors Bless
Johnson Sululu (amezaliwa tar. 26 Julai 1986) ni mtayarishaji, Dj na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la kitayarishaji kama Jors Bless au Dj.Jors Bless .
Jors Bless (Dj Jors Bless) | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Jors bless (Dj Jors Bless) |
Nchi | Tanzania |
Alizaliwa | 26 Julai 1986 |
Aina ya muziki | Hip hip, Rnb , Afro pop & Tz urban music |
Kazi yake | Mtayarishaji, Dj, Msanii |
Miaka ya kazi | 2004 - hadi leo |
Kampuni | Sababisha records |
Anafanya kazi katika studio ya Sababisha Records na ni mmiliki wa studio hiyo iliyopo jijini Dar na yupo tangu mwaka wa 2004 pale studio ilipoanzishwa. Bless amewahi kufanya kazi na wasanii kadhaa wa Bongo, kama vile Zola D, Mapacha, Joe Makini, Adili, Black, Kanyama, Rama D, Linex na Danny Msimamo, Niki wa pili,G nacko
Pia amewahi kufanya kazi katika studio mbali mbali nyinginge ikwemo studio iliyofahamika zaidi kwa kutengeneza muziki wa hip hop tanzania Pasu kwa Pasu ambako ndiko alikoanzia kazi ya utayarishaji wa muziki kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 18 tu ambako alipelekwa na wasanii Mapacha 50-50 baada ya kupata kusikia baadhi ya midundo yake aliyokuwa akiitengezea nyumbani, Jors bless anasema kufanya kazi pasu kwa pasu studios ndiko kulikomfungulia milango mingi ya ndoto zake za kufanya muziki kwani alipata nafasi ya kukutana na watu mbali mbali ambao walionyesha kukubali kazi zake na kumpa moyo akiwemo mtayarishaji mkongwe wa muziki Professor Ludigo ambaye hadi sasa wanafanya kazi pamoja katika studio za Sababisha Records.
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririMuziki
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jors Bless kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |