José Reynaldo Bencosme de Leon
José Reynaldo Bencosme de Leon (alizaliwa 16 Mei 1992) ni Mitalia mwenye asili ya Jamhuri ya Dominika anayeshiriki mbio za kuruka viunzi za mita 400, . Alifika nusu fainali kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya 2012.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu José Reynaldo Bencosme de Leon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |