Joseph George Kakunda

Joseph George Kakunda (amezaliwa 15 Septemba 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Sikonge kwa miaka 20152020. [1] Ameteuliwa na Mh Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania kuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuanzia tarehe 10 Novemba 2018, na kuapishwa tarehe 12 Novemba 2018.

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017