Joseph Kizito Mhagama

Joseph Kizito Mhagama ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Madaba kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017