Joseph Murray

Mwanafizikia kutoka marekani

Joseph Edward Murray (1 Aprili, 191926 Novemba, 2012) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa uhamishaji wa kwanza wa figo uliofaulu mwaka wa 1954. Mwaka wa 1990, pamoja na Donnall Thomas alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Murray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.