Joseph Ochaya

Joseph Benson Ochaya (alizaliwa 14 Desemba 1993) ni mchezaji wa soka wa kimataifa wa Uganda ambaye anacheza katika klabu ya Lusaka Dynamos F.C., kama beki wa kushoto.

Kazi ya kimataifaEdit

Ochaya alipokea simu yake ya kwanza kwa ajili ya kucheza katika timu ya taifa ya Uganda mnamo Septemba 2012, akicheza kwa mara ya kwanza mwaka huohuo.

Ameonekana katika mechi ya kufuzu katika kombe la Dunia la FIFA 2018.Alikuwa mwanachama wa kikosi cha Uganda katika michuano ya 2016 kombe la mataifa ya Afrika.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Ochaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.