Joslin

muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka jijini Dar es Salaam, Tanzania


Joslin (jina halisi anaitwa Joslin Robert Mchala) ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Joslin Robert Mchala

Nchi Tanzania
Majina mengine Joslin
Kazi yake msanii wa muziki

Joslin ni maarufu kwa kutoa zile nyimbo zake ziitwazo "Pafyumu" na "Mshkaji Mmoja hivi" na badaaye kutoa nyimbo nyingine kama vile Niite Basi, Tanzania Vitani n.k.

Joslin ni mwanachama wa kikundi cha Rap na R&B kiitwacho "Wakali Kwanza".

Nyimbo maarufu hariri

  1. Pafyum
  2. Mshkaji Mmoja hivi
  3. Niite Basi
  4. Tanzania Vitani
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joslin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.