Juan Carlos Aramburu
Juan Carlos Aramburu (11 Februari 1912 – 18 Novemba 2004) alikuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires, Argentina, wa Kanisa Katoliki kuanzia 1975 hadi 1990.
Aliteuliwa kuwa mwanachama wa Baraza la Makardinali na Papa Paulo VI mwaka 1976.[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |