Juan Esteban Pedernera
Juan Esteban Pedernera (25 Desemba 1796 – 1 Februari 1886) alikuwa Rais wa mpito wa Argentina kwa kipindi kifupi mwaka 1861.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Juan Esteban Pedernera | Real Academia de la Historia". dbe.rah.es.
- ↑ Veláquez, Luis (1958). Vida de un héroe. Biografía del Brigadier General Juan Esteban Pedernera. Buenos Aires: Ediciones Peuser. Colección Grandes Biografías. uk. 524.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juan Esteban Pedernera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |