Jumba la Sinema

Jumba la Sinema (kutoka Kiing.: movie theatre, mara nyingine huandikwa theater) ni mahala pa kuonyesha filamu mbalimbali kwa kutumia skrini kubwa.

Jumba la sinema huko Australia.

Watu wanaoingia kuangalia filamu kawaida huwa wanakaa katika viti. Sinema zenye vioo vingi mara nyingi huita "multi-plex" au "mega-plex" (endapo itakuwa na zaidi ya viwambo 10).

Ona piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: