Sinema ya nyumbani

Sinema ya nyumbani (kwa Kiingereza: home theater) imetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na inaweza kutoa ubora wa picha sawa na ile ya jumba la sinema, kuanzia picha hadi sauti.

Projection screen ya sinema ya nyumbani yenye mita 3 na inchi 19.

Kiufundi, sinema ya nyumbani ni rahisi kabisa namna ya kuifunga, kwani hupangwa na televisheni, DVD, na seti ya vipazasauti.

Marejeo

hariri
  1. http://www.guerilladrivein.org/
  2. http://www.mobmov.org/ Ilihifadhiwa 16 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sinema ya nyumbani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.