Juventus F.C.
(Elekezwa kutoka Juventus)
Juventus Football Club (kutoka Kilatini: Juventūs, "Ujana"; matamshi ya Kiitalia: [juvɛntus]) ni klabu ya soka iliyopo katika ligi kuu ya Italia huko Torino, Piemonte. Juventus ilianzishwa mnamo mwaka 1897 na kikundi cha wanafunzi wa Torinese. Imeshinda mara 35 ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A. Klabu hii imecheza mechi za nyumbani kwa misingi tofauti karibu na jiji lake, na kitu kikubwa kinachomilikiwa na klabu hii ni uwanja wa Allianz.
Viungo vya nje
hariri- Juventus F.C. Ilihifadhiwa 17 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. at Serie A (Kiingereza) (Kiitalia)
- Juventus F.C. at UEFA