Kırıkkale

Kırıkkale ni mji mkuu wa Jimbo la Kırıkkale nchini Uturuki. Upo kilomita 80 kutoka mashariki mwa mji wa Ankara.

Bonde la Mto Delice.

Jina la mji huu lina maana ya ngome iliyovunjikwa. Mji upo mita 713 juu ya usawa wa bahari.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika mji huo ilikadiriwa kuwa takriban 225,005 ambao wengine 205,078 wanaishi katikati ya mji wa Kırıkkale.[1][2]

MaelezoEdit

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units (English). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kırıkkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.