KMKM F.C.
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, ama kwa urahisi KMKM SC ni klabu ya mpira wa miguu kutokea Zanzibar yenye makao yake kisiwani Unguja .
Kikosi cha sasa
haririKikosi cha Timu ya kwanza
hariri- As of 31 May 2024
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
Mafanikio
hariri- 1984.
- 1984, 1986, 2004, 2013, 2014, 2019, 2021, 2022.
- Nyerere Cup : 3
- 1977, 1982, 1983.
- Kombe la Zanzibar : 1
- 2002.
Matokeo katika mashindano ya CAF
hariri- Ligi ya Mabingwa Afrika : Michezo 5
- 2005 – Hatua ya Mtoano
- 2014 – Hatua ya Mtoano
- 2015 – Hatua ya Mtoano
- 2020 – Hatua ya mtoano
- 2022 – Hatua ya awali
- Kombe la Shirikisho la CAF : Mchezo 1
- 2011 - Hatua ya mtoano
Vidokezo
haririViungo vya nje
hariri- Wasifu wa timu - Jalada Kubwa Zaidi la Soka Ulimwenguni
- Wasifu wa timu - footballzz.co
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu KMKM F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |