Zanzibar Premier League
Ligi Kuu ya Zanzibar kwa kiingereza (Zanzibar Premier League), kwa jina lingine PBZ Premier League, ni mashindano ya daraja la juu kabisa ya mchezo wa mpira wa miguu chini ya Shirikisho la mpira wa miguu la Zanzibar. Ilianzishwa mwaka 1926 na kurasimishwa mwaka 1981. Anayeshikilia rekodi ya mfungaji mwenye magoli mengi mpaka sasa ni Craig macfarlane, alifunga jumla ya magoli 63 kwenye msimu wa 2001-02.
Ligi Kuu ya Zanzibar kwa kiingereza (Zanzibar Premier League), kwa jina lingine PBZ Premier League, ni mashindano ya daraja la juu kabisa ya mchezo wa mpira wa miguu chini ya Shirikisho la mpira wa miguu la Zanzibar. Ilianzishwa mwaka 1926 na kurasimishwa mwaka 1981. Anayeshikilia rekodi ya mfungaji mwenye magoli mengi mpaka sasa ni Craig macfarlane, alifunga jumla ya magoli 63 kwenye msimu wa 2001-02.
Washindi
hariri- 1981 : Ujamaa
- 1981–82 : Ujamaa
- 1982–83 : Small Simba
- 1983–84 : KMKM
- 1984–85 : Small Simba
- 1985–86 : KMKM
- 1986–87 : Miembeni
- 1987–88 : Small Simba
- 1988–89 : Malindi
- 1989–90 : Malindi
- 1990–91 : Small Simba
- 1991–92 : Malindi
- 1992–93 : Shangani
- 1993–94 : Shangani
- 1994–95 : Small Simba
- 1995–96 : Mlandege
- 1996–97 : Mlandege
- 1997–98 : Mlandege
- 1998–99 : Mlandege
- 1999–2000 : Kipanga
- 2000–01 : Mlandege
- 2001–02 : Mlandege
- 2002–03 : Jamhuri
- 2003–04 : KMKM
- 2004–05 : Polisi
- 2005–06 : Polisi
- 2006–07 : Miembeni
- 2007–08 : Miembeni
- 2008–09 : Mafunzo
- 2009–10 : Zanzibar Ocean View
- 2010–11 : Mafunzo (ligi ndogo)
- 2011–12 : Super Falcon (ligi ndogo)
- 2012–13 : KMKM
- 2013–14 : KMKM
- 2014–15 : Mafunzo
- 2015–16 : Zimamoto
- 2016–17 : JKU
- 2017–18 : JKU
- 2018–19 : KMKM
- 2019–20 : Mlandege
- 2020–21 : KMKM
- 2021–22 : KMKM
- 2022–23 : KMKM
- 2023–24 : JKU
Chanzo:[1]
Utendaji wa Timu
haririKlabu | Mataji | Taji la mwisho |
---|---|---|
KMKM | 9 | 2022–23 |
Mlandege FC | 7 | 2019–20 |
Small Simba | 5 | 1994–95 |
Malindi | 3 | 1991–92 |
Mafunzo | 2014–15 | |
Miembeni | 2007–08 | |
JKU | 2023–24 | |
Shangani F.C. | 2 | 1993–94 |
Polisi | 2005–06 | |
Ujamaa | 1981–82 | |
Kipanga | 1 | 1999–2000 |
Jamhuri | 2002–03 | |
Zanzibar Ocean View | 2009–10 | |
Super Falcon | 2011–12 | |
Zimamoto | 2015–16 |
Chanzo:[1]
Wafungaji Bora
haririMsimu | Mfungaji Bora | Klabu | Magoli |
---|---|---|---|
2005 | Kigezo:Country data ZAN Joseph Malik | Tembo | 8 |
2008 | Bakari Mohammed | Mundu | |
2009 | Mfanyeje Musa | Mundu | 14 |
2020–21 | Kigezo:Country data ZAN Maabad Maulid | KVZ | 17 |
2021–22 | Kigezo:Country data ZAN Maabad Maulid | KVZ | 21 |
2022–23 | Yassin Mgaza | KMKM | 17 |
2023–24 | Kigezo:Country data ZAN Suleiman Mwalim Abdallah | KVZ | 20 |
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Zanzibar Champions". www.rsssf.org. Iliwekwa mnamo 2024-03-05.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Zanzibar Premier League kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |