Kabila (maana)
Kabila inaweza kutaja
- Kabila, jamii ya wanadamu
Mahali fulani kama vile
- Kabila (Magu), kata ya Wilaya ya Magu, Tanzania
Majina ya watu, kama vile
- Joseph Kabila, rais wa nne wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka 2001 - 2019
- Laurent Kabila , rais wa tatu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia Mei 1997 hadi kuuawa 2001