Wilaya ya Magu
Wilaya ya Magu ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Mwanza.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 299,759 waishio humo. [1] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 421,119 [2].
Makao makuu ya wilaya yako Magu Mjini.
Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu 334.
Tanbihi
haririKata za Wilaya ya Magu - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Buhumbi | Bujashi | Bujora | Bukandwe | Chabula | Isandula | Itumbili | Jinjimili | Kabila | Kahangara | Kandawe | Kisesa | Kitongo Sima | Kongolo | Lubugu | Lutale | Magu Mjini | Mwamabanza | Mwamanga | Ng'haya | Nkungulu | Nyanguge | Nyigogo | Shishani | Sukuma |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Magu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |