Kabila la Zebuluni

Kabila la Zebuluni ni mojawapo kati ya makabila ya Israeli ambayo kwa jumla ni 12, kutokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Lilipewa na Yoshua eneo kaskazini mwa nchi. Ni kati ya makabila ya kwanza (732 KK) kupelekwa na Waashuru uhamishoni Mesopotamia na hatimaye kupotea huko.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Zebuluni kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.