Kabiru Akinsola
Kabiru Akinsola Olarewaju (anajulikana kama Akinsola, alizaliwa katika Jimbo la Imo, 21 Januari 1991) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayecheza kama mshambuliaji.
Kimataifa
haririAkinsola alipata umaarufu mwaka 2007, alipocheza katika timu ya chini ya miaka 17 ya Nigeria katika Mashindano ya Vijana ya Afrika jijini Togo na kufunga bao la ushindi katika mechi ya fainali.[1] Alikuwa mwakilishi wa nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA la Vijana chini ya miaka 17 huko Jamhuri ya Korea, akishinda mashindano hayo na timu ya Golden Eaglet.
Mafanikio
hariri- Kombe la Dunia la FIFA la Vijana chini ya miaka 17: 2007
Marejeo
hariri- ↑ Kabiru Akinsola FIFA competition record
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kabiru Akinsola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |