Marcus Maecilius Flavius Eparchius Avitus (takriban 39517 Oktoba, 456) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 9 Julai, 455 hadi kifo chake. Alimfuata Petronius Maximus.

Shaba inayoonyesha Kaizari Avitus

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaisari Avitus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.