Orodha ya Makaizari wa Roma
orodha ya makala za Wikimedia
Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476.
Nasaba ya Julio-Klaudio
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
16 Januari 27 KK hadi 19 Agosti AD 14 | Augustus | |
19 Agosti 14 hadi 16 Machi 37 | Tiberius | |
18 Machi 37 hadi 24 Januari 41 | Gaius Caligula | Ameuawa |
24 Januari 41 hadi 13 Oktoba 54 | Claudius | Ameuawa kwa sumu |
Oktoba 54 hadi 11 Juni 68 | Nero | Alijiua |
Mwaka wa Makaizari Wanne
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
8 Juni 68 hadi 15 Januari 69 | Galba | Aliuawa na Otho |
15 Januari 69 hadi 16 Aprili 69 | Otho | Alijiua |
2 Januari 69 hadi 20 Desemba 69 | Vitellius | Aliuawa hadharani |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
1 Julai 69 hadi 24 Juni 79 | Vespasian | 70: Cheo cha Pontifex Maximus Pater Patriae Kaisari-mshiriki; angalia: Mwaka wa Makaizari Wanne |
24 Juni 79 hadi 13 Septemba 81 | Titus | |
14 Septemba 81 hadi 18 Septemba 96 | Domitian | Ameuawa |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
18 Septemba 96 hadi 27 Januari 98 | Nerva | |
28 Januari 98 hadi 7 Agosti 117 | Trajan | |
11 Agosti 117 hadi 10 Julai 138 | Hadrian |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
10 Julai 138 hadi 7 Machi 161 | Antoninus Pius | |
7 Machi 161 hadi 17 Machi 180 | Marcus Aurelius | |
7 Machi 161 hadi Machi 169 | Lucius Verus | Kaizari pamoja na Marcus Aurelius |
175 hadi 175 | Avidius Cassius | Mnyang'anyi; alijitangaza kuwa kaizari: alitawala Misri na Syria tu; aliuawa na mwanajeshi |
177 hadi 31 Desemba 192 | Commodus | Aliuawa |
Nasaba ya akina Severi
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
1 Januari 193 hadi 28 Machi 193 | Pertinax | Alitambuliwa kuwa Kaizari na Septimius Severus; aliuawa na wanajeshi |
28 Machi 193 hadi 1 Juni 193 | Didius Julianus | Alihukumiwa na Seneti; aliuawa kwenye Mlima wa Palatino |
9 Aprili 193 hadi 4 Februari 211 | Septimius Severus | |
193 hadi 194/195 | Pescennius Niger | Mdai: kaizari katika Syria |
193/195 hadi 197 | Clodius Albinus | Mdai: kaizari katika Uingereza |
198 hadi 8 Aprili 217 | Caracalla | |
209 hadi 4 Februari 211 | Geta | Aliuawa na Caracalla |
11 Aprili 217 hadi Juni 218 | Macrinus | Aliuawa kisheria |
Mei 217 hadi Juni 218 | Diadumenian | Aliuawa kisheria |
Juni 218 hadi 222 | Elagabalus | Ameuawa |
13 Machi 222 hadi ?Machi 235 | Alexander Severus | Cheo cha Pontifex Maximus Aliuawa |
Watawala wakati wa taabu za karne ya 3
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
Februari/Machi 235 hadi Machi/Aprili 238 | Maximinus Thrax | Aliuawa na wanajeshi |
mwanzo wa Januari/Machi 238 hadi mwisho wa Januari/Aprili 238 | Gordian I | Alijiua |
mwanzo wa Januari/Machi 238 hadi mwisho wa Januari/Aprili 238 | Gordian II | Aliuawa katika vita |
mwanzo wa Februari 238 hadi mwanzo wa Mei 238 | Pupienus | Aliuawa na wanajeshi wa Pretori |
mwanzo wa Februari 238 hadi mwanzo wa Mei 238 | Balbinus | Aliuawa na wanajeshi wa Pretori |
Mei 238 hadi Februari 244 | Gordian III | Aliuawa |
240 hadi 240 | Sabinianus | Alijitangaza kuwa kaizari; alishindwa vitani |
Februari 244 hadi Septemba/Oktoba 249 | Philip Mwarabu | Aliuawa kwenye vita na Decius |
248 | Pacatianus | Alijitangaza kuwa kaizari; aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
248 hadi 249 | Iotapianus | Mdai |
248 | Silbannacus | Mnyang'anyi |
249 hadi Juni 251 | Decius | Aliuawa vitani |
249 hadi 252 | Priscus | Alijitangaza kuwa kaizari katika majimbo ya Mashariki |
250 hadi 250 | Licinianus | Mdai |
mwanzo wa 251 hadi 1 Julai 251 | Herennius Etruscus | Aliuawa vitani |
251 | Hostilian | Alikufa na tauni |
Juni 251 hadi Agosti 253 | Gallus | Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
Julai 251 hadi Agosti 253 | Volusianus | Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
Agosti 253 hadi Oktoba 253 | Aemilian | Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
253 hadi Juni 260 | Valerian I | Kaizari pamoja na Gallienus; alitekwa na Waajemi: alifariki kifungoni |
253 hadi Septemba 268 | Gallienus | Kaizari pamoja na Valerian 253 hadi 260; aliuawa |
260 | Saloninus | Kaizari pamoja na Gallienus; Aliuawa |
258 au Juni 260 | Ingenuus | Alijitangaza kuwa kaizari |
260 | Regalianus | Alitangazwa kuwa kaizari |
260 hadi 261 | Macrianus Major | Alitangazwa kuwa kaizari; alishindwa na kuuawa vitani |
260 hadi 261 | Macrianus Minor | Alitangazwa kuwa kaizari; alishindwa na kuuawa vitani |
260 hadi 261 | Quietus | Mdai |
261 hadi 261 au 262 | Mussius Aemilianus | Alitangazwa kuwa kaizari |
268 hadi 268 | Aureolus | Alijitangaza kuwa kaizari; alijisalimisha kwa Claudius II Gothicus |
Dola la Gallia 260 hadi 274
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
260 hadi 268 | Postumus | |
269 hadi 269 | Laelianus | Alijitangaza kuwa kaizari wa Dola la Gallia |
269 hadi 269 | Marius | |
269 hadi 271 | Victorinus | |
270 hadi 271 | Domitianus | Alijitangaza kuwa kaizari wa Dola la Gallia |
271 hadi 274 | Tetricus I |
Makaisari wa Illyria
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
268 hadi Agosti 270 | Claudius II Gothicus | Alikufa na tauni |
Agosti 270 hadi Septemba 270 | Quintillus | Kaizari pamoja na Aurelian; Alijiua |
Agosti 270 hadi 275 | Aurelian | Kaizari pamoja na Quintillus; Aliuawa na wanajeshi wa Pretori |
271 hadi 271 | Septimius | Alitangazwa kuwa kaizari katika Dalmatia; aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
Novemba/Desemba 275 hadi Julai 276 | Tacitus | Aliuawa |
Julai 276 hadi Septemba 276 | Florianus | Aliuawa |
Julai 276 hadi mwisho wa Septemba 282 | Probus | Aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
280 | Saturninus | Mdai: alilazimishwa na wanajeshi wake mwenyewe; alijitangaza kuwa kaizari; aliuawa na wanajeshi wake mwenyewe |
280 | Proculus | Mdai: alipokea ombi la wenyeji wa Lugdunum; aliuawa na Probus |
280 | Bonosus | Alijitangaza kuwa kaizari; alishindwa na Probus na alijiua |
Septemba 282 hadi Julai/Agosti 283 | Carus | |
Machi/Mei 283 hadi Juni/Agosti 285 | Carinus | Kaizari pamoja na Numerian; Aliuawa |
Julai/Agosti 283 hadi Novemba 284 | Numerian | Kaizari pamoja na Carinus |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
286 hadi 293 | Carausius | |
293 hadi 297 | Allectus |
Nasaba ya akina Konstantin
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
20 Novemba 284 hadi 1 Mei 305 | Diocletian | Kaizari pamoja na Maximian; alijiuzulu |
1 Aprili 286 hadi 1 Mei 305 | Maximian | Kaizari pamoja na Diocletian; alilazimishwa kujiuzulu |
1 Mei 305 hadi 25 Julai 306 | Constantius I Chlorus | Kaizari pamoja na Galerius |
1 Mei 305 hadi Mei 311 | Galerius | Kaizari pamoja na Constantius I Chlorus, halafu pamoja na Severus II |
Agosti 306 hadi 16 Septemba 307 | Severus II | Kaizari pamoja na Galerius |
307 hadi 308 | Maximian | Alijiuzulu |
28 Oktoba 306 hadi 28 Oktoba 312 | Maxentius | Alishindwa na Konstantino I vitani |
kisheria: 307, kulingana na matukio 312 hadi 22 Mei 337 | Konstantino I | Kufani alibatizwa kuwa Mkristo wa Kiario |
308 | Domitius Alexander | Alijitangaza kuwa kaizari |
11 Novemba 308 hadi 18 Septemba 324 | Licinius | Kaizari-mshiriki; alijiuzulu akauawa kisheria mwanzo wa 325 |
1 Mei 310 hadi Julai/Agosti 313 | Maximinus Daia | Kaizari-mshiriki; alijiua |
Desemba 316 hadi 1 Machi 317 | Valerius Valens | Kaizari pamoja na Licinius; aliuawa kisheria na Konstantino Mkuu |
Julai hadi 18 Septemba 324 | Martinianus | Kaizari pamoja na Licinius; alijiuzulu akauawa kisheria mwanzo wa 325 |
337 hadi 340 | Konstantino II | Kaizari-mshiriki; aliuawa vitani |
337 hadi 361 | Constantius II | Kaizari-mshiriki |
337 hadi 350 | Constans I | Kaizari-mshiriki; aliuawa na Magnentius |
Januari 350 hadi 11 Agosti 353 | Magnentius | Mnyang'anyi; alijiua |
mnamo 350 | Vetranio | Alijitangaza kuwa kaizari dhidi ya Magnentius; alitambuliwa na Constantius II, akajiuzulu |
mnamo 350 | Nepotianus | Alijitangaza kuwa kaizari dhidi ya Magnentius, aliuawa kisheria |
Novemba 361 hadi Juni 363 | Juliani Mwasi | Aliasi Ukristo akauawa vitani |
363 hadi 17 Februari 364 | Jovian | Alikufa kwenye ajali |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
26 Februari 364 hadi 17 Novemba 375 | Valentinian I | Kaizari wa Roma Magharibi |
28 Machi 365 hadi 9 Agosti 378 | Valens | Kaizari wa Roma Mashariki |
Septemba 365 hadi 27 Mei 366 | Procopius | Mnyang'anyi; aliuawa kisheria na Valens |
24 Agosti 367 hadi 383 | Gratian | Aliuawa |
375 hadi 392 | Valentinian II | Aliondoshwa madarakani akafa katika mazingira ya kutatanisha |
383 hadi 388 | Magnus Maximus | Mdai kwenye Magharibi; kwanza alitambuliwa na Theodosius I, halafu aliondoshwa madarakani na kuuawa kisheria |
mnamo386 hadi 388 | Flavius Victor | Mwana wa Magnus Maximus, aliuawa kwa amri ya Theodosius I |
392 hadi 394 | Eugenius | Mnyang'anyi kwenye Magharibi; aliuawa vitani |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
388 hadi 17 Januari 395 | Theodosius I Mkuu | Kaizari-mshiriki; Kaizari wa Roma Mashariki tangu 379 |
383 hadi Januari 395 | Arcadius | Alianza kuwa Kaizari wa Roma Mashariki Januari 395 |
23 Januari 393 hadi 395 | Honorius | Baadaye alikuwa Kaizari wa Roma Magharibi tu |
Miaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
395 hadi 15 Agosti 423 | Honorius | Kaizari pamoja na Constantius III (421) |
407 hadi 411 | Constantine III | Mdai |
409 hadi 411 | Constans II | Mdai, alitawala pamoja na Constantine III |
409 hadi 410 | Priscus Attalus | Mdai |
409 hadi 411 | Maximus | Mdai katika nchi ya Hispania |
411 hadi 413 | Jovinus | Mdai |
412 hadi 413 | Sebastianus | Mdai, alitawala pamoja na Jovinus |
414 hadi 415 | Priscus Attalus | Mdai |
421 hadi 421 | Constantius III | Kaizari pamoja na Honorius |
423 hadi 425 | Joannes | Mdai |
425 hadi 16 Machi 455 | Valentinian III | |
17 Machi 455 hadi 31 Mei 455 | Petronius Maximus | |
Juni 455 hadi 17 Oktoba 456 | Avitus | |
457 hadi 2 Agosti 461 | Majorian | Alijiuzulu akauawa |
461 hadi 465 | Libius Severus | |
12 Aprili 467 hadi 11 Julai 472 | Anthemius | Aliuawa kisheria |
Julai 472 hadi 2 Novemba 472 | Olybrius | |
5 Machi 473 hadi Juni 474 | Glycerius | Alijiuzulu |
Juni 474 hadi 25 Aprili 480 | Julius Nepos | Kaizari wa Roma Magharibi hadi 475, aliondoshwa madarakani na Orestes akakimbia; tangu 476 alitambuliwa na Odoacer; aliuawa 480 |
31 Oktoba 475 hadi 4 Septemba 476 | Romulus Augustus (Romulus Augustulus) |
Aliondoshwa madarakani na Odoacer; hali yake ya baadaye haijulikani |
Baada ya Dola la Roma Magharibi kukomeshwa, sehemu za Italia zilitawaliwa na wafalme wa mataifa mengine.
Dola la Roma Mashariki
haririMiaka ya Utawala | Jina la Kaizari | Maelezo |
---|---|---|
395 hadi 408 | Arcadius | |
408 hadi 450 | Theodosius II | |
450 hadi 457 | Marcian | |
457 hadi 474 | Leo I | |
474 hadi 474 | Leo II | |
474 hadi 491 | Zeno | |
475 hadi 476 | Basiliscus |
Angalia pia
hariri- Kuanzia 476 hadi 1453, kuna Orodha ya Makaizari wa Byzantini
Viungo vya nje
hariri- De Imperatoribus Romanis Archived 16 Februari 2011 at the Wayback Machine. Wasifu wa Makaizari wengi wa Roma
- Orodha ya Makaizari ya Dola la Roma