Rhine-Palatino
Rhine-Palatino (Kijerumani: Rheinland-Pfalz) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 4,0 kwenye eneo la 19,847 km². Mji mkuu ni Mainz. Waziri mkuu ni Maria Luise „Malu“ Dreyer (SPD).

Mahali pa Rhine-Palatino katika Ujerumani
JiografiaEdit
Rhine-Palatino imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini-Westfalia, Hesse, Baden-Württemberg na Saarland.
Miji mikubwa ni pamoja na Mainz, Ludwigshafen, Koblenz na Trier.
Picha za Rhine-PalatinoEdit
Porta Nigra ya Dola la Roma, Trier
Tovuti za NjeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rhine-Palatino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |