Kaizari Maximilian I

Maximilian I (22 Machi 145912 Januari 1519) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1493 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake Federiki III, na kufuatiwa na mjukuu wake Karoli V.

Kaizari Maximilian I
Flag of Germany (1867–1918).svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Maximilian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.