Kalvin Phillips
Kalvin Mark Phillips (alizaliwa 2 Desemba 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Ipswich Town, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL, akitokea klabu ya Manchester City kwa mkopo na timu ya taifa Uingereza.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Kalvin Phillips Ipswich Town Midfielder, Profile & Stats | Premier League". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-23.
- ↑ https://www.uefa.com/uefaeuro-2020/news/0269-12464679fb2e-84fa175e53ca-1000--all-the-euro-2020-squads/
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kalvin Phillips kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |