Open main menu

Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi wa Mashariki

Bendera ya Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi wa Mashariki tangu 1801

Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi wa Mashariki ilianza mwaka 1600 kama shirika ya binafsi ya biashara kati ya Uingereza na Uhindi ikaendelea kuchukua utawala juu sehemu kubwa ya nchi hadi kuwa serikali kuu ya maeneo karibu yote ya Bara Hindi mpaka mwaka 1857.

Utawala wa kampuni uliporokoa katia uasi wa wanajeshi Wahindi wa jeshi lake mwaka 1857.

Tazama pia:Edit