Kampuni ya Magazeti ya Southern

Kampuni ya Magazeti ya Southern ni kampuni ya uchapishaji ya kuendesha kampuni zingine ambayo ina makao yake makuu katika eneo la Houston, Texas. Kampuni hii ilianzishwa ,hapo awali, kama Kampuni ya Magazeti ya Southern, ya Tennessee katika mwaka wa 1967 na mwanzilishi B. Carmage Walls. Gazeti lake maarufu kabisa ni Galveston County Daily News, lililoanzishwa 11 Aprili ,1842, na hujulikana kama gazeti kongwe kabisa katika eneo la Texas.

Kampuni ya Magazeti ya Southern
Jina la kampuni Kampuni ya Magazeti ya Southern
Ilianzishwa 11 Aprili 1842
Mwanzilishi B. Carmage Walls
Huduma zinazowasilishwa Uchapishaji
Makao Makuu ya kampuni Houston, Texas
Bidhaa zinazosambazwa na kampuni hii *. Magazeti ya kila siku
*. Magazeti ya kila wiki
Nchi Marekani Marekani
Tovuti http://www.sninews.com/

Machapisho

hariri

Kampuni inamiliki machapisho kadhaa katika eneo la Pwani ya Ghuba ya Marekani.

Machapisho ya hivi sasa

hariri

Machapisho yaliyoacha kuchapishwa

hariri
  • Angleton Times (1893-2004) - ilifyonzwa na Brazosport Facts [18]
  • Texas City Sun (1912-2004) - ilifyonzwa na Galveston County Daily News

Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. .lasso Historia ya Galveston News
  2. Houston Chronicle Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine.
  3. Houston Chronicle Ilihifadhiwa 21 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
  4. Galveston County Daily News: Lufkin, Nacogdoches newspapers wajiunga na familia ya SNI