Kanisa la Kiinjili la Armenia
Kanisa la Kiinjili la Armenia (kwa Kiarmenia: Հայաստանեայց Աւետարանական Եկեղեցի) lilianzishwa na Waarmenia 40 tarehe 1 Julai 1846 huko Istanbul (Uturuki).
Lengo lao lilikuwa kusisitiza Biblia kuliko mapokeo ya Kiarmenia.
Kwa sasa kuna makanisa 88 ya namna hiyo yaliyosambaa katika nchi zifuatazo: Argentina, Armenia, Australia, Ubelgiji, Brasile, Bulgaria, Canada, Cipro, Misri, Uingereza, Ufaransa, Georgia, Ugiriki, Iran, Lebanoni, Siria, Uturuki, Uruguay na Marekani.
Marejeo
hariri- Vahan H. Tootikian, The Armenian Evangelical Church, Armenian Heritage Committee Detroit, MI 1982
- Rev. Hagop A. Chakmakjian, The Armenian Evangelical Church and The Armenian People
Viungo vya nje
hariri- Armenian Evangelical Union of North America (AEUNA)
- Armenian Missionary Association of America (AMAA)
- Union of Armenian Evangelical Churches in the Near East (UAECNE) Archived 10 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- Union des Eglises Evangéliques Arméniennes de France
- Directory of Armenian Evangelical Churches, Institutions, Pastors and Christian Workers Worldwide Archived 5 Machi 2009 at the Wayback Machine.
- Armenian Protestants
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Kiinjili la Armenia kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |