Kontrili ni kijiji cha wilaya ya Jhelum, mkoa wa Punjab, Pakistan.

Farasi na mpanda farasi wakifanya mazoezi; mnyama huyu alishinda.

Tamaduni

hariri

Kontrili inajulikana kwa mila za kitamaduni, kama vile kuvuna mazao, kila mwaka, katika wikendi ya tatu ya mwezi Februari, mela maarufu hufanyika. Maelfu ya watu na viongozi hudhuria tukio hili.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kantrili kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.